Quick Links
Get Access to Various Important Features
Description: Washiriki mbali mbali katika Jukwaa la Siku ya Saikolojia lililoandaliwa na Wanafunzi wa Kada ya Saikolojia na Ushauri Nasihi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZUPCSA), Kikwajuni jijini Zanzibar.
Description: Dkt. Maryam Hassan Ali kutoka Hospitali ya Wagonjwa wa akili ya Kidongo Chekundu akitoa mada kuhusu Hali ya Tiba na Saikolojia.