Balozi wa Vijana Zanzibar, Mheshimiwa Mohammed Kassim - PhD (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wa Itifaki kutoka Kada ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU) inayotolewa katika Kitivo cha Sanaa na Sayansi Shirikishi (FASS).